chadema imepata wanachama wengi mwaka huu tu na inakimbiwa mawaka huu na kufutwa tar 25 oct 2015kichwa cha habari tu unajua ni nani alieandika uzi ...inakua haina mvuto tena kueni creative basii dah..
alafu vepee mbn kadi zote mpyaa kwikwiikwii
Mbona hizi kadi mpya sana ?.
Hiyo pambio tumesha isikia sana. Haina tija bali ni dhaifu.CCM hawapati kitu mwaka huu. Endelea kujidanganya
Uliuona ule mkutano ULIODODA WA TUNDU LISU, mpaka akakimbia?haa haa wamehongwa kiasi gani? singida amkeni kina mwigulu wanawadanganya ili familia zao ziendelee kwenda chooni...