Iramba magharibi ...tumepata mbunge fisadi!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
5,826
6,840
Ni kijana mdogo ...MWIGULU MCHEMBA,lakini kwa mfungamano wake na mafisadi ....ni dhahiri wana Iramba Magharibi tumepata mbunge ambaye ana kila dalili za kufuata nyayo za BOSI WAKE JK,Ni lazima tumwandalie dawa yake 2015.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom