IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

Hivi Mnashindwa wapi? Kweli HGL ni nyingi.
Filimbi ni 2
kichwa + filimbi ni 5
Kichwa pekee ni 3
Viatu ni 10
Now 10 + 3 x 2 ni
10 + 6 = 16
 
Hili swali siyo hesabu, ni jaribio la macho, ukiangalia kwa makini utaona vichwa vitatu wamevaa filimbi moja moja kisha kujumlisha filimbi zipo mbili ila mwishoni kwenye kuzidisha filimbi ipo moja, sasa nyie mnaojua namba tafuteni thamani ya filimbi moja kwanza...changamkeni mlete jibu
 
Ahsante!

Its 16

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…