don williama
Member
- Dec 7, 2015
- 48
- 72
...wanandugu nimekua nikisikia hilo neno IQ kwa muda sasa bila kufahamu kwa undani has a
Pamoja na miaka yangu almost 28 sasa sijajua ni kipimo gani hasa kinatumika kupima IQ ya mtu
Maana nimekua nikisikia ooo lampard ( mchezaji wa zamaji wa club ya Chelsea ana IQ ya 75) sijaelewa kipimo gan kinatumika kupata hizo DAta
I submit