IPTL/PAP: Hatuna kesi na TANESCO

USISUMBUKE NA HAWA WAPO JF kwa kazi maalumu, hawashuguluki na uzi zaidi ya huu wao ni kafulila mwanzo mwisho ,utafikiri ni kafulila pekee aliyeongelea ilo swala wala usipoteze muda wako

Nikweli mkuu kila mtu anainterest zake JF mfano mimi yangu nikumuanika DAVID KAFULILA kwa vile alivyo, anatumika TUMBILI kwa maslahi ya wachache.
 
IPTL/PAP naona inazaidi kung'aa Africa mashariki,kweli Mungu hamtumpi anayeonewa
 
Jamani kafulila kaguswa na anajutia kutumika huoni kanyamazj

kafulila afunguka na kulalamika serikali inataka kuchelewesha mjadala bungeni,na kutoa vitisho dhidi ya serikali kuwa bungeni hakutakalika kama ripoti haitaenda bungeni kikao kijacho
 
je wanasiasa wetu wataendelea kupotosha umma mpaka lini?,hili si la kufumbia macho kabisa
 
IPTL/PAP naona inazaidi kung'aa Africa mashariki,kweli Mungu hamtumpi anayeonewa

naamini Watanzania watalifuatilia suala hili kwa karibu sana,ili ukweli ufahamike na wanaotumika katika hili wawajibishwe, kutumika na mafisadi ni kuhujumu nchi yetu,
 
kafulila afunguka na kulalamika serikali inataka kuchelewesha mjadala bungeni,na kutoa vitisho dhidi ya serikali kuwa bungeni hakutakalika kama ripoti haitaenda bungeni kikao kijacho

kama ana uhakika na anachokisimamia basi hana haja ya kulalamika na kuitisha serikali,asubiri ripoti bungeni
 
Hivi huyu Kafulila haoni ni muda sahihi wa yeye kuwataka radhi
iptl na watanzania kwa kutumika na mafisadi ili kurudisha
heshima yake kwa watanzania.
 
naamini Watanzania watalifuatilia suala hili kwa karibu sana,ili ukweli ufahamike na wanaotumika katika hili wawajibishwe, kutumika na mafisadi ni kuhujumu nchi yetu,

Kafulila haoni ni muda sahihi wa yeye kuwataka radhi
iptl na watanzania kwa kutumika na mafisadi ili kurudisha
heshima yake kwa watanzania.
 
Hivi huyu Kafulila haoni ni muda sahihi wa yeye kuwataka radhi
iptl na watanzania kwa kutumika na mafisadi ili kurudisha
heshima yake kwa watanzania?

Kafulila analalamika kwamba PAP/IPTL
imelipwa kwa makosa yeye ndio anafanya makosa
ya kupotosha ukweli wa suala hilo au labda
aeleze kwamba Standard Chartered ni Shirika
la Umma.
 
kama ana uhakika na anachokisimamia basi hana haja ya kulalamika na kuitisha serikali,asubiri ripoti bungeni

Kafulila analalamika kwamba PAP/IPTL
imelipwa kwa makosa yeye ndie anayefanya makosa

waeleze kwamba Standard Chartered ni Shirika

Kuna watu wapo kazini kwenye hili swala la IPTL...Naona Singa Singa katoa kazi na dau la kutosha kwa watu wa mtandaoni....Wasubili Report ije Bungeni..
Naona ID zilezile ktk kutetea IPTL/PAPS
 
Kafulila anazungumziaje tuhuma za yeye kupokea
milioni tisini kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa
walioathirika na kitendo cha waziri mpya wa nishati na
madini sospeter muhongo kufunga mirija ya kifisadi
waliyokuwa wanatumia kujinufaisha na kuifilisi nchi
(rostam,mengi,mkono) ili awachafue na kuwakomoa muhongo
na katibu wake maswi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…