IPTL/PAP: Hatuna kesi na TANESCO

mjinga huyo kafulila....yeye anadhani sisi wote ni mambulula humu na kuanza kutuletea porojo zake humu,adanganywi mtu humu kawadanganye hao hao mambulula wako.

Kafulila na wenzake waelekeze nguvu katika
mashirika ya umma yanayofilisika kila
kukicha huku na yeye akiwa sehemu ya ufilisi
huo, Watanzania tuwapuuze wabunge vibiriti
fitini kama Kafulila na wenzake waliokubali
kuweka pembeni uelewa wao na kutumika na
makampuni shindani dhidi yetu pamoja
Standard Chartered, vinginevyo ajiseme
hadharani yeye ni mbia wa Standard
Chartered.
 
Hilo ndilo la msingi sana!
 
kweli kabisa....mchane live kafulila haacha unafki wake.
 
kesi hakuna hapo mkuu....wanataka kusumbua vichwa vya watu tu humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…