Ipp mpaka leo hatujapokea mishahara

-something is better than nothing
-kazi mbaya ukiwa nayo
-bad job is the one you have,leave it and you will see how good it was

''usawa haupatikani kwa mzani kuwa sawa,inategemea na mpimaji mwenyewe''
 
-something is better than nothing
-kazi mbaya ukiwa nayo
-bad job is the one you have,leave it and you will see how good it was

''usawa haupatikani kwa mzani kuwa sawa,inategemea na mpimaji mwenyewe''
Mkuu nakubaliana na wewe, lakini kama hayo yangekuwa yana ukweli kwenye real life kusingekuwa na vyama vya wafanyakazi kulinda maslahi ya wafanyakazi maana ingekuwa mradi uko kazini vumilia matatizo yote.
tukiacha unazi na ushabiki usio na maana hapa, hebu fikiria baba yako nyumbani anawaacha nyinyi watoto wake mshinde na njaa wakati anatoa misaada kwa majirani mngechukuliaje?
wote mnaochangia kwa jazba kumkashifu huyo kaka wa watu naamini hamna kati yenu aliyepitia IPP Media coz kama mngefanya kazi pale au hata mkeo ,mumeo ,GF,BF wako angefanya pale lazima ungemchoka na kulalama kusikoisha, ukweli wafanyakazi wa IPP hawathaminiwi na mishahara duni.
Kwani hapa si ndo jamii Forum tunadare to talk openly? sasa mbona baada ya kumpa ushauri bora huyo mtoaji mada mnamscold? kisa kasemwa Mengi? nampa HEKO vita vyake dhidi ya ufisadi lakini haimaanishi anapofanya makosa walengwa wasilalamike
 



Kakwambia nani ,mimi niko channel ten lakini na sisi hatujapa chetu hadi leo,tehuku ni balaa tupu
 
Kakwambia nani ,mimi niko channel ten lakini na sisi hatujapa chetu hadi leo,tehuku ni balaa tupu
ukoko....poleni sana, nilichotaka kumwambia huyu mmbea ni kua kila taasisi inamatatizo, awe mvumilivu, tatizo kidogo unakimbilia kumeleza jirani yako, kazi mbaya ukiwa nayo....asante kwa taarifa kama hata Channel ten mambo magumu na bado mnasubira.
 
NInyi bana ''you are too demanding''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…