Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,221
kwa kuanza tu... tujuze toleo gani? mfn: nano? touch? etc. kisha je, ni generation ipi? na mwisho, tatizo hujui kuwasha wi-fi au unawasha lakini haidaki?
Kwanza Mm nna Maswali Ma Yafuatayo!!
1. Hyo Wifi Source Yake Ni Wapi??
2. Je Una Uhakika Hyo Wifi Ni Open Netwoork??
Kuhusu Kuwa Ad-hoc au Infrastructure Si Tatzo Maana I Device Znasuport Aina zote za wifi
na Swali La Nyongeza Ningeweza Kuulza Unatumia Simu Gani??
Inahitaji passwod na mwenyeji kanipa na hapa nilipo natumia wi-fi kwenye samsung pocket .
pasword za Wifi huwa Ni caps sensitive so Kama Amechanganya Herufi kubwa Na Ndogo Na ww Uka Mix Lazma ikatae!! japo Kwa Kias Kikubwa Huwa Inategemea Na Type Of Encryption!! Jaribu Kuangalia Hilo