Ipo sokoni: Brother HL-3040CN Compact Digital Color Printer with Networking

Ipo sokoni: Brother HL-3040CN Compact Digital Color Printer with Networking

Alfred Daud Pigangoma

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2009
Posts
1,833
Reaction score
972
Wadau

Brother HL-3040CN Compact Digital Color Printer with Networking inauzwa kwa bei 1,200,000 tu. Imetumika kidogo kwani ilitumia toner zilizokuja nayo baada ya hapo haikutumika tena kutokana na kukosekana kwa maduka yanayouza toner kwa hapa Tabora. Niliinunua mwaka 2014, hivyo bado ipo kwenye hali nzuri.

Kama unahitaji nicheck call 0710410234 or Whatsapp 0784895535
71a7NFsxrjL._SL1500_.jpg
hqdefault.jpg
 
Back
Top Bottom