IPO SIKU

sonzawileme

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2017
Posts
545
Reaction score
392
Kwa kuitazama Tanzania ya sasa na Siasa Zake zimEkua na msinyao wa Kitaifa hususani kijamii, kisiasa na kiuchumi.

Taifa lolote duniani linahitaji Amani, Uongozi Bora , Siasa Safi, na Uzalendo kwa Nchi husika. IPO SIKU

Kulingana na Mtazamo mkubwa wa mafanikio tuliyonayo ambayo hayashabihiani na Uhalisia IPO SIKU.

Tabaka Tawala huwa na kazi ya kuongoza na kuimalisha Umoja juu ya wananchi ikitokea inashindwa! IPO SIKU

Katiba Ndio Muongozo mkuu kwa Nyingi Mara nyingi isipo fuatwa huleta shida juu ya uwepo wa Amani. IPO SIKU

BUNGE NA MAHAKAMA zikishindwa kuisimamia Serikali na kufuata muongozo wa Serikali Yarabi Wenye Nchi hunyanyasika na isitoshe ya Misri na Sudan huko yalivyo au Zimbabwe hutamalaki. IPO SIKU

Ndimi RAIA MWEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…