Ipo siku wataamka tu

Mada nzuri sana. Ni kweli kabisa ipo siku tutaamka tu. Ni suala tu la muda.
 
Fake kivipi
GENTAMYCINE ni Dawa je, GENTAMYCIME ni nini? Acha Upumbavu unachokifanya ni kutaka kwa Makusudi Kujifananisha na GENTAMYCINE ambaye hapa JamiiForums ameshakuwa Brand tokea mwaka 2013 alipojiunga.

Unachokifanya ni kutaka Kufifisha Umaarufu wake mkubwa na Uwasilishaji wake wa Kipekee wa Masuala Mtambuka hapa JamiiForums na Kusafiria Nyota yake na kuwa Kwake na 'Natural Charm' ukidhani utawahadaa Wanaomkubali na waanze Kukuamini Wewe.

JamiiForums nzima ina GENTAMYCINE Mmoja tu ambaye ni 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' kama vile ambavyo JamiiForums nzima kuna MINOCYCLINE Mmoja tu ambaye ni 'Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person' sawa?

Huna Akili.
 
Mada nzuri sana. Ni kweli kabisa ipo siku tutaamka tu. Ni suala tu la muda.

Ila samahani mtoa mada! Mbona kama nakufananisha hivi na swahiba wangu wa siku nyingi Mr. Popoma!!! Ni wewe mwenyewe, au mna undugu? 😁😁😁
Kuna tofauti kubwa kati ya GENTAMYCINE na GENTAMYCIME nasikitika Mtu makini kama Wewe hili hujalitambua.

Mwambieni na Mimi natamani aiige hii ID yangu ya MINOCYCLINE na Yeye ajiite MINOCYCLIME ili aweze Kusafiria pia na hii Nyota yangu.
 
Nimekupata vizuri kabisa Mr. Genius.
 
Acha ushamba na ulimbukeni, ndio sina akili UMEFURAHI??
 
Kuna tofauti kubwa kati ya GENTAMYCINE na GENTAMYCIME nasikitika Mtu makini kama Wewe hili hujalitambua.

Mwambieni na Mimi natamani aiige hii ID yangu ya MINOCYCLINE na Yeye ajiite MINOCYCLIME ili aweze Kusafiria pia na hii Nyota yangu.
Tafuta mme uolewe, umri unakutupa mkono
 
Anataka kujipatia mademu kupitia jina lako nini mkuu?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
careful now...

kuna watu wameshawahii kutembea uchi mtaani kwa kauli kama hizi!

natoa angalizo tu mkuu πŸ˜…

ila kwa kuwa lako ni la kuitwa mbwa, basi ngoja tuone!
Ipo siku, unajua hata mjinga ukizidi kumuonea kuna wakati fahamu zitamrudia na atachukua hatua
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…