Ipo siku wataamka tu

Mbwilimbwili

Senior Member
Joined
Jun 30, 2020
Posts
183
Reaction score
282
Naamini wahenga hawakukosea na msemo wao tukuka kabisa "Ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka", hapo Dodoma naona mnaendelea vizuri na kazi ya 'kuwatwika' zigo la tozo 'Wanachi wazalendo', nadhani sasa hivi inayofuatia ni tozo ya 'kubiolojiana', naamini huko pia mtapata mapato makubwa mno kwani kwa ninavyowajua 'Wazalendo' watalipa tu hata hiyo ili waendelee kufaidi starehe muhimu kuliko zote. Ila ipo muda si mrefu wataamka tu, hata 'mjinga' au 'popoma' hua anakua ana akili 'sometimes'.
 
Wewe pia ni GENTAMYCIME maana anazo akaunti nyingi sana. Yule MINOCYCLINE huwa anakuja wakati genta amekula ban
🀣🀣🀣🀣 mkuu mimi nina account moja tu. Why wpuld i try to ride under someone's wing.?
Yawezekana mtu anafahamika kwa mambo mbalimbali humu ndani either mazuri au mabaya but hio ndo hulka yake, sioni kama ni sawa if mtu mwingine akitumia hyo kama gia ya kujikweza.
Kuna vitu viko wazi, mwandiko wa popoma na huyo minocyline unafanana kabisa lak huyu mwingine ni "wanna be".
 
Popoma ni uhakika MINOCYCLINE hilo halina ubishi angalia nyuzi na muandiko labda huyu New Genta naweza kusema site.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…