Nakuambia!!!!!!!!!!!!! mimi nililazimishwa kununua line ya TIGO, ezi hizo BUZZ kisa, cheap. mpaka sasa nimestack na maline 3, thanx to chinese wametupunguzia mzigo, maana siku hizi kuna simu yenye kutumia line 3.
kuna siku nilimkuta mtu ana simu 4, mifuko na mikono imejaa simu; LOL!