Ipi siri ya Dr. Kamugisha Kazaura kuendelea kuwepo TTCL enzi hizi za Dr. Magufuli

Huu si aliukuta mkuu
na kausimamia hadi umevunjika
 
Kamugisha ni msomi wa hiyo sector na ni kijana mdogo aliyeingia kwenye hiyo post juzi juzi tu...atumbuliwe kwa kosa gani....?
Taifa linaitaji kuwatumia vijana wasomi kama yeye badala ya kuwavunja moyo na majungu kama ya mleta uzi
 
Sifa ambazo zinakufanya usitumbuliwe na Daktari wa Hospital yetu ya kaya.

1.Uwe msukuma,mhaya ua mzinza

na sifa hizo hizo zinakufanya uteuliwe kuingia katika chumba cha operesheni + jinsia ya me + dini yako.(sijui dini gani)
 

Ndio wakati wako sasa kama unaishi huko kuwasiliana na TTCL uombe uwakala na wewe usapply hivyo vitu kuliko kulalamika...
 
Sijalalamika bali nilikua nashangaa uzembe wa TTCl kama shirika linalopaswa kujiendesha kibiashara. On top, walasihitaji huo uwakala mkuu, yaani sina shida nao.
Ndio wakati wako sasa kama unaishi huko kuwasiliana na TTCL uombe uwakala na wewe usapply hivyo vitu kuliko kulalamika...
 


Mtoa post ni moja ya vijana ambao wamezaliwa miaka ya 2000, niwazi tu hajui historia ya nchi, TTCL wala historia ya sekta ya mawasiliano. Kijana huyo ni kati ya vijana wavivu na wazembe ambao hawajishughulishi kusoma ili kujiongezea maarifa na uelewa juu ya mambo mbalimbali hususani TTCL ilipotoka, ilopo na inapokokwenda. Kama hujafanya tafiti dont speak. Suala la bhart airtel na TTCL limezungumzwa sana kwenye vyombo vya habari mitandao ya kijamii, take time to read. Dr Kazaura unahusika vipi na issue na mkataba wa Bhart Airtel??? mikataba mibovu ipi?...... kaka Nenda shule
 
Ulijuaje hakuna network ya TTCL pasipo kuwa na line yake??

Acha uongo aisee.
 
Kutumbua bila kumpa mhusika nafasi ya kujitetea si mzuri kwa hali ya kawaida lakini kuna watendaji ukiambiwa waliyotenda inatia hasira sana ambayo inapelekea kuona kwamba hakuna sababu ya kumpa nafasi ya kumsikiliza.

Mtu mwenye akili yake timamu kwa mfano akafuatilia yanayotendeka Chuo cha Ufundi Arusha ni lazima apatwe na hasira kali inayoweza kumtumbua mtu bila kumpa nafasi ya kujitetea. Ni waongo kupita kiasi, ni wapika taarifa wa kutisha, ni wezi hakuna mfano, katika mazingira ya aina hiyo inaweza kumpa hasira mtumbuaji asione sababu ya kutoa nafasi ya kujitetea na ikizingatiwa kwamba mengine pengine yako wazi kabisa.

Kuna watu wanafanya mambo yanayokera jamani nyie sikieni tu, wengine wana roho mbaya shetani ni kidogo.
 
 

leo ametumbuliwa ameshateuliwa Ndg Waziri Kindamba
 
Mbona tiari mkuu, na serikali imenunua hisa zote
 
Huo mkataba Airtel haukuingiwa katika kipindi chake, madudu mengi yamefanywa kipindi ambacho viongozi ambao wapo upinzani leo walikuwa na mavyeo makubwa utawala.
Mark Mwandosya yuko upinzani?
Yeye na Mkapa ndio walioiua TTCL
 
Sifa ambazo zinakufanya usitumbuliwe na Daktari wa Hospital yetu ya kaya.

1.Uwe msukuma,mhaya ua mzinza

na sifa hizo hizo zinakufanya uteuliwe kuingia katika chumba cha operesheni + jinsia ya me + dini yako.(sijui dini gani)
Ww ni Bure kabisa
 
Kilio chako kimesikika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…