sikiolakufa
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 411
- 55
Mkuu na galaxy note II kwa upande wa bei ni kiasi gani? je kwa dar es salaam zinapatikana?Kama shida yako ni kureplace iPad then chuka galaxy note II kwa kuwa ina display kubwa. Japokuwa huja specify sony xperia ipi unayoongelea ila ninachojua hakuna yenye display au screen inayolingana na ya note II. Mambo mengine hardly any difference.