Antibiodegradable
Member
- Dec 30, 2018
- 14
- 4
Ni muitimu wa kidato Cha nne 2018,,
Ufauru wangu ni CBA kweny PCB kwa huwo mfuatano,,Ila Niko njia panda wap niende ,kati ya diploma ya kozi za afya au nikasome PCB advance ,,ila shida iko kwenye physics maana C nilipata kwa ujanja ujanja,,
Na ikiwa Ni diploma zipi Ni cos mzur?
Pia Kama Ni advance je physics inafaulika kwa kutegemea ujanja ujanja
Pia kwa mathematics na kingereza Nina C