Natanguliza shukran zangu kwa wote mliopo humu nimefika Tanga salama na nimefikia Nyinda classic pazuri sana pametulia ninaomba kwa wenyeji wa Tanga wanielekeze ni wapi pa kutembelea baada ya kazi au kama kuna mwenyej zaid ani pm hata no zake au kuniambia nimkute wapi anielekeze natumia private car
Napendelea sana supu supu michemsho na bite bite na michezo michezo like pool table table tanis swiming dar ilikua asubui naenda taifa kwa zoezi naona huku nimeamka alfajiri kweupe sana na jana usiku wa saa nne kweupe yaani utazan usiku wa manane aise mji huu umepoa sana
Wewe utakuwa ni hotelia au tourguide. Nimekuwa nikizisoma comment zako ndo maana nikasema hivyo. Au fly catcher? Hahahaaaa.......utani! Haya avuke Pangani aje Mkwaja maeneo ya Saadani. Where bush and sea meet.