Ipi sababu iliyokufanya uolewe/uoe?

Ipi sababu iliyokufanya uolewe/uoe?

Bawabu wa pili

Senior Member
Joined
Nov 14, 2025
Posts
147
Reaction score
432
Wakuu, naomba tupeane experience, Ipi sababu iliyokufanya uolewe/uoe?

1. Je ni kwasababu ulichoka kuishi maisha ya upweke?
2. Je ni kwasababu ulishindwa kuzuia hisia?
3. Je ni kwasababu ulipata mtu mwenye pesa?
4. Je nikwasababu ulizalishwa/Ulizalisha?
5. Je ni kwasababu ulimpa mtu ujauzito/ ulibeba ujauzito?
6. Baada ya umri kwenda sana?
7. Maneno ya wazazi, ndugu, rafiki na majirani?
8. Kwasababu ya ugumu wa maisha/umaskini?
9. Je ni kwasababu ulipata mke/mume sahihi?

AU NI NONE OF THE ABOVE?
 
It's natural,kiumbe mtu anayejitambua na mwenye akili timamu aliyetokana na muunganiko wa kifamilia ukifika umri sahihi wa kuoa hahitaji kujiuliza mara mbili mbili aoe au asioe aolewe au asiolewe ni vitu vinakuja vyenyewe.

Anachofanya ni kutafuta mtu sahihi tabia ikizingatiwa regardless pesa sijui shape sura rangi height etc,asiyetokana na familia anaweza akapata changamoto kidogo kwa sababu ya lack of experience kutoka kwa wazazi kama amelelewa malezi ya upande mmoja.

NB;pale juu nimesema mtu anayejitambua na mwenye akili timamu.
 
Back
Top Bottom