angalau bajaj pulse 180 spea zipo ila discover sijawah iona..
ni kweli ila wabongo wengi tunapenda spea ziwepo jirani kuagiza tunaona mlolongo sanaIla vyombo vingine ambavyo ni unique usilazimishe spare uzipate bongo wakati unaweza kuagiza nje with affordable price
ni kweli ila wabongo wengi tunapenda spea ziwepo jirani kuagiza tunaona mlolongo sana
tvs iko smart sana hii 150..
Sio kama boxer BM 150 mkuu, boxer IPO simple sana mlio umetulia, pili tafuta mtu mwenye boxer BM 150 ya miezi 4 af angalia na tvs 150 miezi 4 utagundua kitu. Bt TVS 125 ni nzuri sana Inahimili shida na raha huo ndo uzoefu wangu mkuu
Upo mkoa gani!?.. Unajua biashara inatofautiana bei kwa eneo!.Mkuu Wick vipi kuhusu spare za TVS, maana nina hlx 150 nilimpa dogo akamwage oil naona wamenivunjia mfuniko,
Tatizo la boxer mchina kashafyatua kopi...bado TVS hlx 150 is the best! Hapa sizungumzii ushabiki,boxer zilikua zile za mwanzo.Sio kama boxer BM 150 mkuu, boxer IPO simple sana mlio umetulia, pili tafuta mtu mwenye boxer BM 150 ya miezi 4 af angalia na tvs 150 miezi 4 utagundua kitu. Bt TVS 125 ni nzuri sana Inahimili shida na raha huo ndo uzoefu wangu mkuu
Hizo za mchina zinajulikana wazi kabisa na ariginal still zipo mpya dukan...achana na maduka ya chochoTatizo la boxer mchina kashafyatua kopi...bado TVS hlx 150 is the best! Hapa sizungumzii ushabiki,boxer zilikua zile za mwanzo.
125 tayariNaona mnunuzi kanunua tvs 125 cc
Si kweli, pikipiki inatoa moshi inapoua Piston Rings hapo ni kufunga Rings tu unasahau kikubwa uzivushe service ya oil na kutumia oil bora kama Mogas, Total au Titan sio International Oryqs.Anayo kuambia shemeji yangu hapo juu, ni nzuri 150 ina hadi sehemu ya kucharg sim,
Boxer ikishaanza kutoa moshi, ndiyo mwisho wa uhai wa hyo pikipiki
Tvs ni kama roho ya paka mweusi
Niambie mkuu, hyo ya mchina ntaijuaje???Hizo za mchina zinajulikana wazi kabisa na ariginal still zipo mpya dukan...achana na maduka ya chocho
TATA milion 100, hesabu kwa siku ni 150000 hapo bado service kila biashara ni kichaa ila kichaa sio biasharaKwa mtazamo wangu biashara ya boda boda ni biashara kichaa..unanunua chombo cha 2M unapata elfu 7 kwa siku bado kuna service na huduma zingine.
Nb:samahani kwa waliokereka ni mtazamo wangu tu
TATA milion 100, hesabu kwa siku ni 150000 hapo bado service kila biashara ni kichaa ila kichaa sio biashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijajua unamaana gani kusema usalama wa chombo? Kuwa TATA hazipati ajali au?Lakini mkuu usalama wake ni mkubwa una uhakika wa kuwa na chombo salama kwa asilimia kubw
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahio ltr 5 unafika Moro toka Dar kiroho safi