wewe kwanza moja kwa moja ni wa 24 kama mimi big jackbauer,
sijawahi kukutana nayo kaka hiyo thread,
Ungesechi topic na kuweka pb au 24 ungeiona kuwa imeshazungumziwa,
ni vizuri kusechi kwanza na kujibu maana sijui kama unaweza kukutana na kila thread humu uingiapo.
link hii hapa
https://www.jamiiforums.com/entertainment/123436-prison-break-vs-24-a.html
series zote kali, ila inategemeana na wewe ni mpenzi wa mambo ya aina gani, unajua 24 na PB zina action wakati lost ni mavitu flan mixer ya horror na adventure hv, zote nzuri ila epic ya PB na lost ipo kwenye season 1 na 2 basi, baada ya hapo unahisi matukio yanalazimishwa yaendelee ila utamu umepungua kidogo
24 kila season ni kali lakini funga kazi ni season 5, kisha 1, 3 and 7 baadae 2,4,6 na 8