maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,502
- 6,415
dah mkuu huyo alikurupuka asee msamehe
Tutor B........kwani kujipa jakamoyo kaka? ulitakiwa umwulize siku ile ile ana maanisha nini kusema yeye ndo atatangulia kukuacha?? Pengine maelezo ambayo yangefuata yangekupi picha halisi.inawezekana angekujibu kuwa .......nikiona mapenzi yako kwangu yanapungua; huonyeshi kuwa na hamu na mie tena...nitajua moja kwa moja hapa karibu ninaachwa so naanza mie kukuacha..........Kiongozi sijisifu ila ukweli ni kwamba nikimtamkia m2 kuwa nimekupenda nakuwa namaanisha. Sasa inapotokea aka-miss behave tena kwa kauli - huwa naudhika sana. Ulimi uumba.