BROKE BOYS
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,218
- 39,048
samsung vs Android , umeniacha njia pandaSamsung ametoa flagships nyingi sana mwaka huu.
Na mbaya zaidi anashindana na android ambao nao wametoa visu.
Samsung ametoa flagships nyingi sana mwaka huu.
Na mbaya zaidi anashindana na android ambao nao wametoa visu.
Corona virus ndio chanzo kikubwa cha kushuka kwa mauzo. Simu imetoka kipindi ugonjwa umepamba moto Ulaya na Marekani ambapo watu wengi walipoteza kazi hivyo kipato kikapungua. Pesa walionayo ikaelekezwa kwenye vitu vya msingi zaidi.Wakuu kwema?? Tumeshuhudia 13 october apple wamereveal iphone12 ambapo kwa taarifa mpaka sasa itavunja record ya iphone11 kwa mauzo na pre orders. Sasa turud kwa topic.
Samsung wali lunch s20 february mwakahuu lakini ndo simu ambayo imefanya vibaya sana sokoni hta price imeporomoka sana. Tatizo ni nini?
Wale wataalam karibuni kwa huu mjadala
Corona virus ndio chanzo kikubwa cha kushuka kwa mauzo. Simu imetoka kipindi ugonjwa umepamba moto Ulaya na Marekani ambapo watu wengi walipoteza kazi hivyo kipato kikapungua. Pesa walionayo ikaelekezwa kwenye vitu vya msingi zaidi.
Kwa matoleo yalioko sokoni mwaka huu, si rahisi aendelee kua katika mauzo ya juu...
October hii tu majina haya yameshasikika:
Google pixel 5
Google pixel 4a 5G
Oneplus 8T
Xiami Redmi note 10 pro
Vivo 20 series
Sansung F41
Huawei mate 40 series
Iphones 12 series
Redmi 9C
Redmi 10x
Bado matoleo ya September nk..haezi pumua.
Saivi bei inashuka na zitaanza zagaazagaaa huku mtaani
Selling specifications instead of features ndo tatizo kuu la samsung, they look good on paper ila kiuhalisia ni za kawaida sana . Hata refresh rate ya 120 waliyoweka ina walakini.
Usisem oppo statistic zinasema anayemfuatia ni huawei kisha xiaomi so sema xiaomi ndio atamfukuzia samsung kwa kua huawei soon anaenda kufa ila kuna dili la samsung kuuza exynos yake kwa opo na xiaom so atapiga hela mingi zaidi na zaidOppo soon anawafunika
Google pixelsamsung vs Android , umeniacha njia panda
Wanajua watu wanataka numbers na sio quality.Ishu ingine wanaweka specifications kubwa sana afu function kawaida yan camera mp108 android kwel wanakazi
Unasema samsung anashindana na Android.. how??, samsung hawatumii android? au ushindani wako ulimaanisha nn?Google pixel
Oppo
One plus
Sony
Huawei
Nokia
Xiaomi
Hao wanatumia maji?