Ipi ni sababu ya samsung S20 series kufanya vibaya sokoni?

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,209
39,020
Wakuu kwema?? Tumeshuhudia 13 october apple wamereveal iphone12 ambapo kwa taarifa mpaka sasa itavunja record ya iphone11 kwa mauzo na pre orders. Sasa turud kwa topic.

Samsung wali lunch s20 february mwakahuu lakini ndo simu ambayo imefanya vibaya sana sokoni hta price imeporomoka sana. Tatizo ni nini?

Wale wataalam karibuni kwa huu mjadala
 
Kwa matoleo yalioko sokoni mwaka huu, si rahisi aendelee kua katika mauzo ya juu...
October hii tu majina haya yameshasikika:
Google pixel 5
Google pixel 4a 5G
Oneplus 8T
Xiami Redmi note 10 pro
Vivo 20 series
Sansung F41
Huawei mate 40 series
Iphones 12 series
Redmi 9C
Redmi 10x

Bado matoleo ya September nk..haezi pumua.

Saivi bei inashuka na zitaanza zagaazagaaa huku mtaani
 
Corona virus ndio chanzo kikubwa cha kushuka kwa mauzo. Simu imetoka kipindi ugonjwa umepamba moto Ulaya na Marekani ambapo watu wengi walipoteza kazi hivyo kipato kikapungua. Pesa walionayo ikaelekezwa kwenye vitu vya msingi zaidi.
 
Nakuunga mkono pamoja na hiyo ya specification kuwa ya kawaida ingawa ina mabadiliko kidogo.
Corona virus ndio chanzo kikubwa cha kushuka kwa mauzo. Simu imetoka kipindi ugonjwa umepamba moto Ulaya na Marekani ambapo watu wengi walipoteza kazi hivyo kipato kikapungua. Pesa walionayo ikaelekezwa kwenye vitu vya msingi zaidi.
 
Kwa matoleo yalioko sokoni mwaka huu, si rahisi aendelee kua katika mauzo ya juu...
October hii tu majina haya yameshasikika:
Google pixel 5
Google pixel 4a 5G
Oneplus 8T
Xiami Redmi note 10 pro
Vivo 20 series
Sansung F41
Huawei mate 40 series
Iphones 12 series
Redmi 9C
Redmi 10x

Bado matoleo ya September nk..haezi pumua.

Saivi bei inashuka na zitaanza zagaazagaaa huku mtaani

Mi nafikiri wana utaratibu mbaya wa kuleta matoleo mengi kwa kipindi kifupi,
Kuna series A,C,M,S,Note,Nope,FE,Foldable,Active na nisiyofaham
 
Oppo soon anawafunika
Usisem oppo statistic zinasema anayemfuatia ni huawei kisha xiaomi so sema xiaomi ndio atamfukuzia samsung kwa kua huawei soon anaenda kufa ila kuna dili la samsung kuuza exynos yake kwa opo na xiaom so atapiga hela mingi zaidi na zaid
 
Google pixel
Oppo
One plus
Sony
Huawei
Nokia
Xiaomi

Hao wanatumia maji?
Unasema samsung anashindana na Android.. how??, samsung hawatumii android? au ushindani wako ulimaanisha nn?

msingi wa swali langu ndio ulikua huo
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom