MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 836
Thanks I did,
I suggested that we follow the trail of money!!
like the EPA saga, (japo wengine hawajakamatwa)
We name all the names involved,
Sio kukiwa na issue kwa kuwa haina jina KUBWA JF, inaonekana sio ishu, yani kama haina mkapa, JK, Ra, LA, Mengi nk, tunaiona sio ishu, mfano, what happenned in TRL?? hivi kweli what is going on there?? hao maofisa kama ni wizi au uzembe wanafanywaje?
mfano, au kwa kuwa haina mgombea wa 2010?
NAOMBA KUTOA HOJA,
Nimevumilia nimeshindwa, baada ya kuona kuwa hata watu niliokuwa nawaamini hapa JF wameingia mkumbo.
Watanzania wenzangu, tusiwafaidishe hawa mafisadi kwa kuposti habari za kuwatetea au kuwaponda kwa stori za mtaani.
Wote tunajua kuwa fedha zetu nyingi sana zimepotelea kwa hawa mafisadi, waliotajwa na ambao bado hawajatajwa,
-------------
Mimi binafsi niliupenda mtindo wa mashtaka ya EPA ambao, jumla ya fedha za wizi zilikuwa traced mpaka wakakamatwa waliokamatwa, kakuna umbea wala nini. wengine wahindi, wengine wachaga, wengine nk.
Kama inawezekana mabishano hapa ya ku-trace fedha zilikoenda, sio sura zilikoenda.
---------------
I HATE HATE POLITICS, THEY ARE CHEAP
NAOMBA KUTOA HOJA,
Hebu tuamke,
Kama VODA, ZAIN, ZANTEL, TIGO zilianzishwa kinyume basi wote wawajibishwe,
I HATE HATE POLITICS, THEY ARE CHEAP
sans cullotes[/I] vile vile.
Na wote hawa wana feelings sawa as binadamu.
Kwa mtazamo wangu mimi nadhani tunahitaji nchi iongozwe na jopo la wataalamu mbalimbali ambao wataweza kumonitor progress kwa kutumia taalauma zao............