Ipi ni maana halisi ya maisha?

kapingili

Senior Member
Joined
Jul 4, 2012
Posts
155
Reaction score
192
Ipi ni maana halisi ya MAISHA na
kama hapa haipo nipe ya kwako.

1.Maisha ni foleni

2.Maisha ni safari ndefu isiyo na
likizo

3.Maisha ni kupanda na kushuka

4.Maisha ni mzunguko

5.Maisha ni kufa na kuzaliwa au

6.Maisha ni kutafuta?
 
Ipi ni maana halisi ya MAISHA na
kama hapa haipo nipe ya kwako.

1.Maisha ni foleni

2.Maisha ni safari ndefu isiyo na
likizo

3.Maisha ni kupanda na kushuka

4.Maisha ni mzunguko

5.Maisha ni kufa na kuzaliwa au

6.Maisha ni kutafuta?

maisha ni ndoto huwez jua kesho itakuwaje
 
Maisha ni mseto, samaki mix kibua na mbege
 
kama maisha yamekushinda, achana nayo, fanya vitu vingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…