Nadhani kwa mtu kama huyu niliyemuongelea hapa tatizo atakalokuwa nalo ni kumpenda sana mwanae ikibidi kulikuko mume lakini kuna namna rahisi tu ya kudeal na jambo hilo na mambo yakaenda sawa zaidi ya hapo sioni kama kuna shida yoyoteUkishaona mtu anaitwa singo maza,huyo ameshapoteza point ya kuolewa labda wakutane na jibaba lenye watoto 3,walee watoto
Nafikiria kuoa mkuuWewe umeoa singo maza?,au wewe ni singomaza uliyeolewa? Maana tujue upande wako kwanza
Kabisa
Kiuhalisia watu wanaweza kubadilika, either kutoka kuwa mtu mzuri mpaka mbaya au kuwa mtu mbaya mpaka mzuri,malezi,mitazamo na mambo tunayopitia katika maisha ndio hasa yanajenga Imani zetu,nikirudi kwenye swali lako hapo ni bora hiyo single mother