brawn shao
Member
- May 8, 2014
- 62
- 50
Hii inawahusu hasa wauzaji na wasambazaji wa pikipiki, na TRA
SWALi.......kwenu
napenda kujua bei halali ukitaka kununua pikipiki hizi za 150cc mfano-: Toyo,Kinglion na zinginezo
..........
Nimeuliza kwa sababu juzi mshikaji wangu alinunua pikipiki (kinglion 150cc) kwa shilingi 1.64 mil..... Ila chakushangaza alipewa risiti ya sh 1.2 mil...
Baada ya kuchunguza mimi mwenyewe niligundua huu mchezo upo sana hasa kwa wauzaji wengi........
Hivi TRa mnalitambua hilo????
Enyi wauzaji why mnalaghai walalahoi na watz wenzenu????
Tafadhali kwa yyte anaejua bei elekezi atusaidie maana nimeshindwa kwenda kulalamika coz cjui bei halali
ni hyo tu Wanajamvi..........

mkuu mjini shule; kwa manufaa ya wanunuzi ni vyema ikabaki kua siri ya mnunuzi mpaka ww utakapoenda kununua ndo utajua kwa nn imeandikwa 1.2ml. Biashara ya pikipiki ni biashara huria ivo usitegemee fixed price.
Sasa wewe badala ya kumuuliza huyo muuzaji unakimbilia jf, lengo lako nini? Pikipiki kama imeshasajiliwa TRA hapo hawahusiki tena ni wewe na muuzaji wako ingawa jamaa anakwepa kodi za ndan kwa upande flani
Mimi nilinunua yangu aina ya TOYO 150cc kwa Tshs 1.820,000...... Sasa sijui niliingizwa chaka..........
best walikuingiza chaka hao hahahahahahahha (jokes)