nyambe boy
Member
- Apr 3, 2014
- 36
- 11
Kaka zangu naombeni msaada ipo kozi nzuri ya kusoma na yenye field nyingi kati ya mechanical na telecomonication.
kaka zangu naombeni msaada ipo kozi nzuri ya kusoma na yenye field nying kati ya mechanical na telecomonication.
Mecha bro iko poaSoma mechanical wewe, electronics bongo!!!
kwahyo bro telecominication field yake ni kufunga tu minara ya simu au kuna pengineSoma hyo telecommunication.ukafunge minara ya simu n.k.
aaaaaaaaah, vp bro ww ndio uliokua unasoma vpElectronics & Tele ina uwanja mpana
Asante kaka mkubwaZoote nzuri ..
FOLLOW YOUR DREAM MKUU
bro zangu mbona kuna watu wanasema mechanical ni mult course katika field nyingiAsante kaka mkubwa
Asante bro ila vp field zakeSoma Mechanical Engineering
duh, kwahyo akutakuwepo na utofauti wowote na watu wa veta au mafundi wa kawaida wa magari(gereji)Soma mechanical ukawe fundi gereji. Siku hizi sioni viwanda vikiajiri mechanical engineers.
duh, kwahyo akutakuwepo na utofauti wowote na watu wa veta au mafundi wa kawaida wa magari(gereji)
Ina mambo mengi.kwahyo bro telecominication field yake ni kufunga tu minara ya simu au kuna pengine