Nimepata nafasi ya kuchaguliwa na vyuo viwili hapa Tanzania chuo cha kwanza nimepangiwa kusomea civil engineering na chuo cha pili nimepangiwa kozi ya computer engineeringi.
Wana JF nipeni ushauri kati ya kozi hizo mbili ipi ni marketable?
Nimepata nafasi ya kuchaguliwa na vyuo viwili hapa Tanzania chuo cha kwanza nimepangiwa kusomea civil engineering na chuo cha pili nimepangiwa kozi ya computer engineeringi..
Wana Jf nipeni ushauri kati ya kozi hizo mbili ipi ni marketable?
Computer engineering ni kipaji zaidi, unaweza kumaliza ukajikuta umekuwa fundi pc karume pale...
Hii kada inahitaji usome sana nje ya box
Civil engineering tembea na hii mambo hayajabadilika sana...