Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 234
Hatujamsikia bado mwanasiasa huyu aki-comment kuhusu vigogo wa Tz waliowekewa mapesa ya kifisadi katika mabenki ya Uswisi. kama anautaka uraisi, basi ni vyema akaanza kuzungumzia masuala kama hayo, ama sivyo itakuwa vigumu kumuelewa msimamo wake kuhusu ufisadi hasa atakapotinga Ikulu.
Waswahili bwana mmezoea makelele na mnapenda majitu yanayoropokaropoka,Lowassa ana akili kuliko wewe!
Nikweli anaakili sana kaifilisi nchi na bado yupo uraiani tu natena anataka na URAISI
Lini ulikutana naye akakueleza kuwa anautaka Urais?Acha umbeya,na uache uvivu...fanya kazi kwa bidii na wewe utatajirika,ukiedekeza majungu na husuda utaishia kuamini kuwa shida zako zimesababishwa na Lowassa na hakika utakufa maskini!
Kwa sababu kawaacha wa Tanzania masikinimnakera jamani, ukisimama Lowasa,ukikaa Lawasa,ukigeuka Lowasa,jukwaa la siasa kila siku mabandiko ya Lowasa..mbona amewashika sana akili huyu mtu.?
Kwa sababu kawaacha wa Tanzania masikini