wehoodie
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 1,037
- 1,026
kwa wafuatiliaje wa muziki wa hiphop kuna album mpya tatu zilizo toka june na july, hapa kuna Born Sinner ya J.cole, Yeezus ya Kanye na MCHG ya Hov.
Kama umesikiliza album zote naomba uniambie ipi kali. Kumbuka hapa tunaongelea hizi album tu kama umezisikiliza...mimi 1. MCHG, 2. Born Sinner alafu Yeezus ni ya 3.