Ipi inalipa? Kati ya kozi ya tourism na ualimu wa science (physics )

Ipi inalipa? Kati ya kozi ya tourism na ualimu wa science (physics )

Kwa options hizo, bora tuu huo uwalimu..
Japo nao nasema sbb ya hicho ulicholinganisha nacho.
 
kati ya hivyo viwili,ukitaka ufe masikini kasomee ualimu
 
Umasikini hautokani na kazi au kozi uliyosomea. Umasikini ni mfumo wa akili na mtazamo wako au nature ya malezi na familia yako. Kuna walimu ni matajiri sana na kuna ma daktari masikini sana , kuna walimu masikini sana na kuna makarani matajiri. Badili mtazamo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakushauri kwa 100% usije ukaenda kusomea utalii.
Bora ukasomee ualimu mara mia mbili.
 
Kwa namna ulivyouliza swali, nenda kasome Physics tu. Huwezi linganisha Physics na tourism kwa vile haviendani kabisa. Tourism inataka uwe na akili ya mbeleni na uelewa wa sasa.
Physics ukishakomaa kila kitu ukajua basi hata usipojua kinatumika kufanya nini we baki unafundisha kukokotoa.

Ningechagua tourism kwa akili yangu ninavyoielewa.
 
Kama una mtu wako huko utalii wa kukupigia pande nenda, ila kama kajamba nani huna hata binamu basi usipoteze muda nenda huo ualimu tu[emoji847]
 
Back
Top Bottom