Ipi inafaa kwenye gari kati ya battery ya maji na dry?

Hongera sana Mkuu
sasa mbona lipo UP SIDE DOWN au ni picha nzima imegeuka? ngoja nitafute miwani
inashauriwa likae wima kama lilivyoundwa , hapo utamaliza miaka miwili ya uhai wake km na wewe utakuwepo hai
Ni picha tuu imegeuka mkuu wangu
 
Wabongo bhana kitu kidogo mtu anaomba ushauri jukwaani, Sasa hiyo ni betri sipati picha hiyo Gari waliombwa ushauri watu wangap?

Maana hata huu ushauri wa betri nahisi haujaanzia hapa jukwaani. Mtu Kama huyi hakawii kuomba ushauri kuwa mama yake anaomba pesa ampe au asimpe??
Umelazimishwa kumshauri?
 
Hujawahi omba ushauri na ukapata vitu vya zaida ambavyo hukuvitegemea mwenzako nmejifunza vitu vingi Sana wewe unashangaa kuulizia betry kwa taarifa tu mimi hata chakula huwa naulizia bei kabla ya kuagiza sababu nilishawahi kula plate moja ya msosi kwa 100 us dollars pia kila mtu anaangle yake ya ushamba mkuu hakuna mjuaji wa vitu vyote
 
Inawezekana alitaka elimu tu na sio kama ulivyofikiri wewe mkuu. Pia ambacho kwako ni kidogo kwa mwingine ni kikubwa mno.
Wabongo bhana kitu kidogo mtu anaomba ushauri jukwaani, Sasa hiyo ni betri sipati picha hiyo Gari waliombwa ushauri watu wangap?

Maana hata huu ushauri wa betri nahisi haujaanzia hapa jukwaani. Mtu Kama huyi hakawii kuomba ushauri kuwa mama yake anaomba pesa ampe au asimpe??
 
Wabongo bhana kitu kidogo mtu anaomba ushauri jukwaani, Sasa hiyo ni betri sipati picha hiyo Gari waliombwa ushauri watu wangap?

Maana hata huu ushauri wa betri nahisi haujaanzia hapa jukwaani. Mtu Kama huyi hakawii kuomba ushauri kuwa mama yake anaomba pesa ampe au asimpe??
Leta uzi wako wa mambo makubwa makubwa sisi tuachie huu unatufaa sana
 
Bettery ya Maji ni nzuri ila inahitaji uangalizi mkubwa sana ili udumu nayo mda mrefu mfano unatakiwa kuikagua kila baada ya mda kuangalia kama maji yamepungua ili uongeze, uwe na utaratibu wa kukagua kama vile vitundu vya kupitishia hewa havijaziba
Lakini bettery ya dry ukifunga umefunga Kwenye kudumu battery ya maji inadumu mda mrefu kuliko ya dry
 
ni ngum sana kuelewa hizi mambo vijana wa leo wavivu wavivu ndio maana hata kuendesha manuall hawawezi wanalalamika..dereva wa zamani ni nusu fundi asilimia stini anatengeneza mwenyewe au faham matatizo ya gari..

wengi wanaongopeana kwamba dry cell sijui bettry wakiamin kwamba hazina maji.na hawazitaki betri za maji kwa kuwa hawana uelewa wowote na betri
 
Ila betri headache sana.

Wale wanaonunuaga used pale mitaa ya Karume panapojengwa barabara ya Mwendokasi sasa hivi heshima kwenu wakuu.

Sisi wanawake hizo headache za rejareja hatupendagi. Ikishaanza kusumbua tunaweka pembeni.

Manake unaweza nunulishwa starter deile. Bora utemane nayo kumbe shida ni betri na sio starter. Sisi tutajuaje🙄🙄
 
wengi wanaongopeana kwamba dry cell sijui bettry wakiamin kwamba hazina maji.na hawazitaki betri za maji kwa kuwa hawana uelewa wowote na betri
LEGE Mkuu wewe ni mtaalam na mwalimu licha ya kuwa ni fundi wa magari lkn hapo hujatutendea haki maana hujamaizia kati ya hizo betri
  • sisi tunajua kuna BETRI LAKUONGEZEA MAJI iwe baridi au baada ya muda unaongeza makali yakianza kutokota chumba ndipo unaenda kumwaga na kuchaji
  • (BETRI LISILOONGEZEWA MAJI)halafu kuna Betri unanunua dukani unafunga huongezi maji na inadumu hata miaka mitatu huligusi
 
Back
Top Bottom