Ipi hospitali nzuri ya macho?

Ipi hospitali nzuri ya macho?

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
A

Anonymous

Guest
Habari za muda huu you ana jukwaa.

Samahani sana naomba msaada kati ya CCBRT NA DOKTA AGARWALS EYE HOSPITAL ipi ipo makini kwa masuala ya Macho?

Maana nimeenda MVUMI, KCM LAKINI WAPI NAONA BADO.

SASA NIMEFATILIA NAAMBIWA HIZO NI HOSPITALI NZURI

MSAADA KWA ANAYEJUA TAFADHALI

SHIDA NI KWENYE Astigmatism na myopia

Nawasilisha kwenu tafadhali
 
Back
Top Bottom