Hamna kitu hapo.
Zote hizo nimeshawahi kwenda kuziangalia na sikuvutiwa kabisa.
Hapo Shamo niliwauliza wale ma personal trainers kuhusu flat bench wao wakawa wananionyesha decline bench.
Ufahamu wao ni mdogo sana na hata vifaa vyao viko limited.
Nadhani Dar nzima hakuna gym nzuri iliyokamilika.