Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,519
- 5,423
Mkuu mm naishi mwanza. Iyo biashara ya kupitia tunduma imekaaje. Nieleze kidogo nipate ufahamu, maana sipo vizuri kwenye huu uwanda wa kuagiza vitu kwa cost benefit analysisAgiza kutokea tunduma utapata kwa bei rahisi izo Brand kubwa mfano inch 43 Samsung utapata kwa 450K.
Asante saaaana.Kuna kitu kinaitwa Aspect ratio ambazo ni maarufu ni
-16:9 ambayo ni likely itaweka huo weusi unaouna juu na chini ikiwa tv yako ni ndefu
-4:3 ambayo inapendeza kwa tv ndefu kama za chogo.
Hivyo unaweza ukacheza na hizo aspect ratio ipo option ya kustrech screen ili ienee kote.
Kwa remote ya Dstv angalia hii video inakupa maelekezo decoder za zamani na mpya
Smart? Lipi hilo mkuu?Kuna duka mbeya Samsung 32" inaenda kwa 450,000/=
Nadhani nichazamani sana kwani vya sasa vinayo HDMI port.dstv ila hakina hiyo hdmi port
Asante kwa ushauri. Nipe chimbo na location zake nizame nikawaone.Hicence, Boss, Lg mwanza zinapatikana kikubwa mfuko wako tu mkuu.
Siyo smart kwa mtawaSmart? Lipi hilo mkuu?
Kiukweli inategemea hizo brand kubwa unanunua sehem gan na umakini wako pia.....me ni mpenzi sana wa sony kuanzia tv had mziki.......nna sony bravia tv ni mwaka wa saba sasa haijawahi kuzingua zaid ya kubadili remote tu madogo wakipasua.......nikitaka kununua huwa naenda kwa agent kabisa wa sony garantee 2yearsUshauri wa bure ...
Msipende kununua Tv za kampuni zenye majina makubwa kama SONY, SAMSUNG au LG kwani asilimia kubwa ni copy na sio ORIGINAL .
Ni bora kununua tv ya kichina halisi kutoka kwenye kampuni husika kuliko kununua copy ya Kampuni kubwa . Mfano huwez kukuta copy ya Star-X au arboder au TCL.
Kwa ushauri pia ukitaka tv imara na hutojutia nunua TCL hizi ni tv imara sana na ninayangu inatumika 24 hrs mwaka wa pili sasa haimjui fundi licha ya misukosuko ya short ya umeme lakini bado ipo safi. Picha clear kabisa 1080 au 720 resolution safi kabisa . Nunua TCL mkuu
huko Tunduma Hisens 43' smart inauzwa bei gani?Agiza kutokea tunduma utapata kwa bei rahisi izo Brand kubwa mfano inch 43 Samsung utapata kwa 450K.
Kadude kako poa hatari na kana mkwara fulani hivi kwenye uwakaji wake proud of blackstoneWale tunaotumia Blackstone smart tv njooni huku
watu hawaelewi wanakomalia LG na zaga nyingne,kumbe kuna hii kitu ambayo kwanza ni jiwe kama jina lakeKadude kako poa hatari na kana mkwara fulani hivi kwenye uwakaji wake proud of blackstone
Pintech bei gani mkuu inch 24?Kwa ulizotaja hapo chukua STAR-X Ila mimi natumia PINETECH double screen. Kitu kiko bomba. Na bei ni cheee tu
HDMI cable ukiiweka kuna haja ya kubadili settings au inaonesha tu bila shida?Nenda ukanunue HDMI mzee baba
Anaefahamu bei ya TCL tv inch 24 kwa upande wa Dodoma jiji naomba anitajieInch 32 ni Around laki 4 mkuu.
Inch 24 around 250k
Sema hizo za inch 24 sidhani kama ni smart.
Nilinunua mwaka 2015 32" nimekuja kuiuza mwaka huu mwanzoni ikiwa haina tatizo lolote.Wale tunaotumia Blackstone smart tv njooni huku
Vipi Blackstone tv inch 24 bei gani mkuu?Nilinunua mwaka 2015 32" nimekuja kuiuza mwaka huu mwanzoni ikiwa haina tatizo lolote.
Nampango nikachukue brand hiyo hiyo. Kwanza napenda muundo wao wa kuweka base (stand) katikati. Sipendi tv zenye miguu huku na huku kama masikio ya popo.
sijajua ila nafikiri kati ya 240000 hadi 260000Vipi Blackstone tv inch 24 bei gani mkuu?