IPI FACULTY NZURI CHUONI KWA SASA

IPI FACULTY NZURI CHUONI KWA SASA

Joined
Mar 15, 2016
Posts
8
Reaction score
6
habari zenu jamani mimi nakaribia kumaliza kidato cha sita mwezi wa tano combination PCM.
ninataka kwenda kusoma telecomunication nahitaji ushauri juu ya ilo na kama kwa sasa haifai kwa kipindi hiki engeneering gani nyingine ni nzuri tofauti na petroleum
 
Jiandae na mitihani kwa sasa, una muda wa kutosha hapo baadae kutafuta mawazo ya kozi bora na yenye soko
 
Hivi unajua kuwa kuna Division hivi sasa?
Muda ulioandika humu ungeutumia kusoma ungefaidika zaidi
 
maliza mtihani kwanza mana mambo ya GPA siku hizi hakuna..ukifaulu ndo uje uombe maoni kuhusu kozi za kusomea. BTW faculty ni kitivo.
 
Faculty ni kitivo
Najua ulimaanisha program gani ya engineering?
1. Mechanical
2. Electrical
3. Civil

Ila inategemeana na malengo yako ya mbeleni usisome program kwa sababu ndg/rafiki yako aliisoma
 
Soma kitu moyo wako utapenda unaeza kutafuta course na kusoma, ambayo wengi wamekushauri lakin mbeleni ukajikuta unatamani kuiacha kwasababu sio kitu unachokipenda.

Pia kesho yako anaijua Mungu wewe hangaikia leo ambayo unayo.
 
habari zenu jamani mimi nakaribia kumaliza kidato cha sita mwezi wa tano combination PCM.
ninataka kwenda kusoma telecomunication nahitaji ushauri juu ya ilo na kama kwa sasa haifai kwa kipindi hiki engeneering gani nyingine ni nzuri tofauti na petroleum
uje kuchagua renewable energy engineering hautojutia
 
Mm nmesom engineering so nazijua vizur!
Kwanza soma unachokipenda bila kujali engineering aina gani ata Telecoms na computer ni nzuri ila uwe mtundu sana hasa kwenye computer ili upate madili ya ukweli na telecoms lazima ukubali kuwatumikia Kanjibai (wahindi).
Ila kwa engineering ambazo haziwez kuisha soko lake hapa Tz kwa sasa ni Civil, Electrical, Mechanical.
Hzo zingine ni bahati, uwezo binafsi, baba yako yuko wapi.
Petroleum eng ni nzuri but ina changamoto sna maeneo ya kazi alaf ni za msimu kama ilivyokuja telecoms.
So piga kwanza msuli ukifaulu njoo tena humu b'cz tunaweza tukakushaur alaf ukaishia UDOM (Education).
 
Inategemea na comb uliyosoma ila km umesoma hesabu au uchumi UDSM Kuna Actuarial science kasome
N.B lazima ujue hesabu in and out huwa wanachanganya na watu Wa masters
 
Soma engineering yeyote ila si telecom wala computer.
Ushauri wako ni sahihi lakini in real world ni worst of all angalia series of Industrial revolutions
1. Steam Engine
2. Electricity
3. Computer and Electronics
4. Artificial Intelligence and Robotics(Tumeshaianza na ndio inaendelea)

Watu wengi hawasiojua Kozi za IT ndio huwa wa kwanza Kuwambia watu wasizisome. Naweza nikakushauri usisome Computer kama Huimechelewa Kuifahamu, But mtu anayeipenda Computer na ndio Ndoto yake ni Mtu anayeweza Kufanya kazi hata za Engineering zingine, Now Mtu wa Mechanical alieambiwa akasome mech na sio Computer eti Kwa sababu aliyemshauri Haoni Ajira Hawezi Kujua Vitu vingi kama Mtu wa Computer Aliyeamua kuunda Robot(Robotics), Huyu lazima atajifunza Mechanics, Lazima atijifunza very Hard fields za Computer Science(Artificial intelligence, Machine Learning), Lazima Atajifunza Maeneo mengi la Umeme na lazima ajue Electronics.
Pia Computer Ni footloose say, mtu anayemaliza Civil Engineering trust me Chuo hufundishwa wapi ataajiriwa, But Computer anafundishwa only TRUE and FALSE, Kwa hiyo anapomaliza Chuo anakuwa na Wigo Mpana wa Kuanzisha Startup kwa Lowest capital possible, mfano Kilimo ni chanzo cha ajira kwa watanzania wengi Kijana wa Computer anamaliza Chuo anaweza Kutengeneza IoT Green House, Now Think kwa Laki 5 anakitu zha kumfanya Kuwa Bussy na Muda wa Kufikiri Teknolojia mpya
JAMII INABIDI ifikirie Upya JUU ya Masomo Ya Computer.
 
Back
Top Bottom