Ipi dozi kamili ya pepopunda(tetenasi)? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ipi dozi kamili ya pepopunda(tetenasi)?

Discussion in 'JF Doctor' started by sajosojo, Dec 11, 2011.

 1. sajosojo

  sajosojo JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2011
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Ningependa kujua dozi kamili ya pepopunda(tetenasi) na inakaa mda gani hadi kuchoma nyingine/
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Unataka kujidunga mwenyewe?
  Embu nenda hospitali huko.
   
 3. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2011
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kuna doses 5 za Tetanus;
  TT1:haina kinga. Ni dose ya awali.
  TT2: kinga miaka 3,inachomwa wiki 4 toka TT1.
  TT3: kinga miaka 5,inachomwa miezi 6 toka TT2.
  TT4: kinga miaka 10. Inachomwa mwaka mmoja toka TT3.
  TT5:kinga miaka 20! Inachomwa mwaka mmoja toka TT4.

  NOTE: Kwa watu wenye majeraha yanayosababishwa na metallic objects wanaweza kuishia TT3. Ila kwa women of bearing age ni lazima wafikishe hadi TT5. Huo ni mwongozo wa kitabibu uanotumika kwa sasa
  ...NO COMMENT!
   
Loading...