Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,048
- 3,418
[emoji12]tuko pa1Wanaume wengi siku hizi tupo very selective ktk wanawake
Yaani kila mwanamume anataka mwanamke mrembo wa kumvutia
Ila ktk hili, kila mtu ana definition yake ya uzuri huo.
Mwanamke anaeza kuwa mrembo kwako na asiwe mrembo kwa mwezio.
Ipi definition yako ya uzuri wa mwanamke? Unaangalia vigezo vipi hadi useme huyu mwanamke ni mzuri?
Kwangu mimi, mwanamke anayejambia mbali ndo mzuri /mrembo. Yaani anajamba Masaki kinanukia gongo la mboto. Wale wanawake walio jazia jazia wale
hahhahahahahh kaaaaaUzuri wa mwanamke kwangu unaanza na tabia njema..mengine yanfuatia
Au sio....ila tabia c ndo mpaka ufuatilie sana...[emoji15] mm nataka nkimuona tyu anivutie af ss ndo nijue tabia....shundu muhm sana[emoji12]Uzuri wa mwanamke kwangu unaanza na tabia njema..mengine yanfuatia
okay sawa mkuuAu sio....ila tabia c ndo mpaka ufuatilie sana...[emoji15] mm nataka nkimuona tyu anivutie af ss ndo nijue tabia....shundu muhm sana[emoji12]
Hahahhahhahahahahh kaaaaa
Shusha vigezo vyako vionekaneMwanamke mzuri ni yule anayekidhi vigezo vyako vyote kwa asilimia 90%...
Tabia njem unakuja kkuinyoksha wewe. Hata kama ana tabia mbovu but mrembo, we oa tu. Akija kuleta uovu nfo unaudhihirisha uanaume wako kwa kunyoosha tabia yake.Uzuri wa mwanamke kwangu unaanza na tabia njema..mengine yanfuatia
Naam!Mweupe,mzuri Wa sura,makalio yalio jaa jaa.
Nani alisema tabia njema ndiyo urembo?BabuMwerevu tabia njema ndiyo la muhimu,mengine nyongeza!