IPI COARSE NZURI KATI YA HIZI

IPI COARSE NZURI KATI YA HIZI

vioner

Member
Joined
Mar 3, 2019
Posts
58
Reaction score
22
Wanajamvi naomben kujua kati ya bachelor of science in economics and finance VS bachelor of public sector Accounting and finance ipi nzr na ina upana wa ajira na kujiajiri?
 
Kasome hiyo ya accountancy achana na uchumi...

Uhasibu unasoko huwezi linganisha na uchumi.

NB: ukimaliza kapige CPA.
 
Economics and finance iko bomba na ina uwanja mpana wahasibu ni wengi cku izi kazi kupata ni hadi uwe na cpa
 
Wanajamvi naomben kujua kati ya bachelor of science in economics and finance VS bachelor of public sector Accounting and finance ipi nzr na ina upana wa ajira na kujiajiri?
"COARSE" Inabidi ushauri wangu uanze na uandishi wa hili neno. Mkuu una mgogoro na malkia???
 
Economics and finance iko bomba na ina uwanja mpana wahasibu ni wengi cku izi kazi kupata ni hadi uwe na cpa
Mi sina CPA na nimepata boss tena serikalini shirika kubwa tu japo nime hussle muhimu afanye anachopenda nakumbuka pia hata mimi nilikatishwa sana tamaa mtoto wa kimaskini unasoma uhasibu utaishia mtaani kumbe sivyo muhimu tu uwe smart na unachokisoma.
 
Back
Top Bottom