Ipi bora zaidi Kati ya hizi Gari IST, Allex na Ractis

Ghulaam

JF-Expert Member
May 10, 2016
1,847
1,440
Ipi bora zaidi Kati ya hizi Gari IST, Allex na Ractis

Kulingana na sifa ya hizi gari ipi bora zaidi?
 
Ist inatumia engine kama ya 2NZ ambayo ni cc1290 na pia wana za 1NZ ambayo ni ya 1490 japo hii ya 1490 kuna chaguo la 4WD hivyo unapochagua kuwa makini i don recommend a 4WD hasa kwenye hiyo IST

Ukija kwenye Allex nayo ni kama sawa tu maana nyingi zinazokuja bongo ni za 1NZ so mule mule tu hata kwenye ractis anayo ya 1NZ ya 2wd na 4wd so kuwa makini napo anayo 2SZ ambayo ni 1290 tunaweza sema ulaji wa mafuta ni mdogo zaidi kama kwente ile ist ya 2NZ.

Ila kiujumla gari zote hizo ukitoa machaguo ya 4WD(sijazielewa) ziko vizuri kwenye mafuta maana engine zake ni kama zipo sawa na ndio engine pendwa hapa kwetu. Labda sasa uangalie body ipi inakuvutia na space ya ndani ya gari. Like Ist kama unavyoona ina space ndogo sna tofaut na allex na runx so itakubana bana ! Upande wa body Chaguo ni lako kulingana na matumizi yako!
 
Mimi naomba niongeze swali la chini yake. Nimetafuta uzi unaozungumzia hizi pikipiki za umeme nimekosa. Nataka nichukue kimoja hapo baadae kinisaidie mizunguko mjini.

Model gani inafaa na bei zake ni zipi. Ninefatilia Linkall ila sijapata feedback kwa watumiaji.
IMG_20201119_141757.jpg
 
Bei around 1.3M hadi 1.8M model gani inadumu na haisumbui. Mwenye kujua atupie experience
 
umeuliza kweli ukaambiwa bei ni hiyo maana nakumbuka kuna uzi fulani kuna mdau mmoja humu alisema zinaanzia laki 6
Asante. Nataka kitu ya uhakika ambayo haitasumbua, spare zipo, chaji inakaa na betri haifi haraka. Iweze kubeba kilo walau 160 na kutembea 80km kwa single charge. Sidhani kama hii utaipata kwa laki 6.
 
Attachments

  • IMG_20201119_141757.jpg
    IMG_20201119_141757.jpg
    131.7 KB · Views: 11
Ist inatumia engine kama ya 2NZ ambayo ni cc1290 na pia wana za 1NZ ambayo ni ya 1490 japo hii ya 1490 kuna chaguo la 4WD hivyo unapochagua kuwa makini i don recommend a 4WD hasa kwenye hiyo IST

Ukija kwenye Allex nayo ni kama sawa tu maana nyingi zinazokuja bongo ni za 1NZ so mule mule tu hata kwenye ractis anayo ya 1NZ ya 2wd na 4wd so kuwa makini napo anayo 2SZ ambayo ni 1290 tunaweza sema ulaji wa mafuta ni mdogo zaidi kama kwente ile ist ya 2NZ. Ila kiujumla gari zote hizo ukitoa machaguo ya 4WD(sijazielewa) ziko vizuri kwenye mafuta maana engine zake ni kama zipo sawa na ndio engine pendwa hapa kwetu. Labda sasa uangalie body ipi inakuvutia na space ya ndani ya gari. Like Ist kama unavyoona ina space ndogo sna tofaut na allex na runx so itakubana bana ! Upande wa body Chaguo ni lako kulingana na matumizi yako!
Barikiwa cheif
 
Kwann hau recommend 4WD kwny IST mkuu tupe maujanja
 
Ghulaam

Ikiwa suala ni kutaka kukaa na gari muda mrefu, na iweze kuhimili 'mikiki-mikiki'
Nikushauri chukua hiyo "Corolla" yaani Toyota Corolla Runx/Allex.

Ni gari ambayo inahimili sana. Sipingi juu ya Ist, ni gari nzuri sawa, na inadumu na kuhimili vingi. Ila kwa mtazamo wangu, Corolla ndio bora zaidi na inayodumu sana zaidi.

Haya ni maoni yangu, and i stand to be corrected.
 
umeuliza kweli ukaambiwa bei ni hiyo maana nakumbuka kuna uzi fulani kuna mdau mmoja humu alisema zinaanzia laki 6
Niliuliziaga nkaambiwa 900K mpya kutoka China...ila jumla 5pcs ,zinauzwa kwa punguzo 750,000/-... So nahc,huenda ikawa 600k kweli
 
Ist inatumia engine kama ya 2NZ ambayo ni cc1290 na pia wana za 1NZ ambayo ni ya 1490 japo hii ya 1490 kuna chaguo la 4WD hivyo unapochagua kuwa makini i don recommend a 4WD hasa kwenye hiyo IST

Ukija kwenye Allex nayo ni kama sawa tu maana nyingi zinazokuja bongo ni za 1NZ so mule mule tu hata kwenye ractis anayo ya 1NZ ya 2wd na 4wd so kuwa makini napo anayo 2SZ ambayo ni 1290 tunaweza sema ulaji wa mafuta ni mdogo zaidi kama kwente ile ist ya 2NZ.

Ila kiujumla gari zote hizo ukitoa machaguo ya 4WD(sijazielewa) ziko vizuri kwenye mafuta maana engine zake ni kama zipo sawa na ndio engine pendwa hapa kwetu. Labda sasa uangalie body ipi inakuvutia na space ya ndani ya gari. Like Ist kama unavyoona ina space ndogo sna tofaut na allex na runx so itakubana bana ! Upande wa body Chaguo ni lako kulingana na matumizi yako!
sjawahi kuelewa utofauti wa body ya allex na Run X. naonaga zmetofautiana majina tu
 
Back
Top Bottom