Wellmax maxwell
New Member
- Apr 22, 2022
- 3
- 2
Ipi bora kati ya MD ya UDOM, KCMC na St.francis ? Bora kusoma wapi kati ya hivyo
Kama ni kufundisha unafanyiwa interview yenye components kama 3 ikiwa ni pamoja na presentation hivyo ni uwezo wako tu.Nenda udom. Public university inakuwa haraka sana kwa heshima.
Mfano ukipata first class ya udom unaajiriwa popote bila shida.. ila ukipata first class ya private college kama kcmc ama st francis.. huwez kuajiriwa vyuo vya uma ufundishe.. watu watakuwa wanahis first class yako ni ya rushwa
We sijui uko dunia ya wapi.very primitiveNenda udom. Public university inakuwa haraka sana kwa heshima.
Mfano ukipata first class ya udom unaajiriwa popote bila shida.. ila ukipata first class ya private college kama kcmc ama st francis.. huwez kuajiriwa vyuo vya uma ufundishe.. watu watakuwa wanahis first class yako ni ya rushwa
Aisee..!!Nenda udom. Public university inakuwa haraka sana kwa heshima.
Mfano ukipata first class ya udom unaajiriwa popote bila shida.. ila ukipata first class ya private college kama kcmc ama st francis.. huwez kuajiriwa vyuo vya uma ufundishe.. watu watakuwa wanahis first class yako ni ya rushwa
Acha kusema uongoNenda udom. Hapa Tanzania degree za Public university zina heshima kuliko private
Mfano ukipata first class ya udom unaajiriwa popote bila shida.. ila ukipata first class ya private college kama kcmc ama st francis.. huwez kuajiriwa vyuo vya uma ufundishe.. watu watakuwa wanahis first class yako ni ya rushwa
Maswali ya kijinga kama haya yanakera sanaIpi bora kati ya MD ya UDOM, KCMC na St.francis ? Bora kusoma wapi kati ya hivyo
Hope upo chuo ready, ila kwa md nenda KCMC, Based on many experiences. MD ya private ni 200 times better ya govntIpi bora kati ya MD ya UDOM, KCMC na St.francis ? Bora kusoma wapi kati ya hivyo
Mkuu udom ilikukosea Nini nimefatilia comment zako humu kila Uzi unaotaja udom bas lazima uwaponde udomUdom kupoteza mda tuu
Hahah ni utani tu mkuu ila Udom ni kata sababu ya capacity na uwezo wakawaida wa wanafunziMkuu udom ilikukosea Nini nimefatilia comment zako humu kila Uzi unaotaja udom bas lazima uwaponde udom
Je ww ulisoma chuo gani
Uwezo upi mbona tuna ndg zetu wengi pale wamefanya vizuri tu advance kwa kupata div 1Hahah ni utani tu mkuu ila Udom ni kata sababu ya capacity na uwezo wakawaida wa wanafunzi
Div 1 ipi ya kata?Uwezo upi mbona tuna ndg zetu wengi pale wamefanya vizuri tu advance kwa kupata div 1
Embu acha kuifananisha kcmc na hivyo chuo mzeeIpi bora kati ya MD ya UDOM, KCMC na St.francis ? Bora kusoma wapi kati ya hivyo