Ipi best course ya kuwa Afisa Mipango kwa level ya Halmashauri?

Ipi best course ya kuwa Afisa Mipango kwa level ya Halmashauri?

LICHILA

Member
Joined
Sep 28, 2022
Posts
23
Reaction score
4
Habari wanajukwaa, Mimi ni mtumishi halmashaur x, ila naomba ushaur wenu kozi nzuri ya kuwa planning officer Kati ya hizi.

Project planning and management, population and development planning, regional development planning, development finance and investment planning, development in economics, economics.
 
Population and development planning is the best kwa hiyo kazi
 
Kozi zote ulizotaja unaweza kuwa afisa mipango hata kwenye mfumo wa sekreterieti ya ajira zimewekwa category ya planning, ila economics ni nzuri kwa baadaye unaweza hama halmashauri kwenda taasisi nyingine za serikali hata wizarani kwa urahisi kwa nafasi ya afisa mipango .

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom