S Somi JF-Expert Member Joined Feb 7, 2009 Posts 3,955 Reaction score 4,899 Oct 25, 2018 #1 Nataka kujua bei ya wastani ya iPhone 8 Plus imesimamia Tshs ngapi kwenye soko la simu la Daressalaam? Mwenye kujua tafadhali
Nataka kujua bei ya wastani ya iPhone 8 Plus imesimamia Tshs ngapi kwenye soko la simu la Daressalaam? Mwenye kujua tafadhali
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,086 Reaction score 39,585 Oct 25, 2018 #2 Andaa si chini ya 1.7,kwa mtu inaweza pungu zaidi.