hey guys nimepata this iphone 4s kutoka USA ila it has no sim card slot and its registered to a certain ntwork ya kule can someone help me out?
Kaka, au umeletewa iPod ukadanganywa iPhone 4s!!
Kama kweli ni 4s iangalie tena vizuri upande wa kulia utagundua sehem ya microSIM, kuna kijitundu kidogoukichomeka pin ukapush kwa nguvu kidogo inatoka tray ya kuwekea line. Ni most likely itakuwa locked, inategemea imefungwa kwa mtandao gani, ukigoogle kuna option nyingi za kuunlock mwenyewe kama ni mtundu kidogo, lakini unavosound tu inakubidi utafute mtaalam, kuna jamaa humu nmemsahau jina ukisearch utampata!
nah its an iphone I have been using them for a long time and this one haina slot ila iko registered kwenye mtandao fulani wa marekani called verizon huyo jamaa unayemwongelea simfahamu can you hook me up with him?Kaka, au umeletewa iPod ukadanganywa iPhone 4s!!