Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,059
- 15,534
Ni laini moja kwa mtandao mmojahivi ile sheria yakusema kila mtu atapaswa kumiliki laini moja tu hapa tz ulikuwa ni uzushi?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Karibu chama cha techno, iPhone
Nipo HTC now ....ila na mpango wa kurudi techno .
Tecno ana pata faida gani sasa?kushindana na wa asia ngumu sana.. I phone lazima awafate tu.. kwa laini mbili..
tecno ndio smartphone mbovu sana ila ndio anaongoza kwa market share africa... huyu iphone hapigi faida anayopiga techno africa...
Wengeweka kabisa na bei zao ili tuanze kudunduliza hadi kufikia tar hizo na kibubu kichatimia ni kukivunja na kuwalipa tu
Tecno ana pata faida gani sasa?
Angekuwa anapata faida kubwa ingekuwa ndio kampuni kubwa duniani.
Iphone sasa wana market share ya 1 trillion USD.
Yani thamani yake ni trillion elfu mbili kwa pesa yetu ya madafu