Kwa mtu asiyejua hawez kutofautsha iOs na iphone. Wewe unayejua unaelewaiphone ni simu sio OS
Android ni OS sio simu
U cant compare them
Kama Anataka simu ya Kutuma Msg na kupiga na Misifaa bhasi Chukua Iphone maana haina cha Maana zaidi ni Ujinga ujinga tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]iphone ni simu sio OS
Android ni OS sio simu
U cant compare them
ALL IN ALL, android iko poa zaidi. More freedom, more apps, 70% freeeKwa mtu asiyejua hawez kutofautsha iOs na iphone. Wewe unayejua unaelewa
Ios for show off hasa kwa nchi zetu hizi.ALL IN ALL, android iko poa zaidi. More freedom, more apps, 70% freee
Kabisaa... Kuna jamaa anapenda kucheza games lakini ana iphone utacheka akiwa analazimisha iphone icheze games[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Iphone inahitaji mtu asiekuwa na mambo mengi sijui Kudownload Movie..mara music... Kuna masharti na kero kibaoIos for show off hasa kwa nchi zetu hizi.
Umemjibu vizurKwa mtu asiyejua hawez kutofautsha iOs na iphone. Wewe unayejua unaelewa
Shida ni kwamba hata wewe hujaelewa alicho maanisha Mtoa post.. Mtoa post., Kasema IPhone vs Android akiwa na maana ya kwamba Android ina combine simu zote zenye mfumo wa Android (os) na iphone akiwa Kashaisema direct ndo maana hakuweka IOS kuweni waelewa . Kwani Kuna Kifaa kinatumia Ios tofauti Na vinavotoka kampuni ya Apple?? [emoji848][emoji848][emoji848]iphone ni simu sio OS
Android ni OS sio simu
U cant compare them
Shida ni kwamba hata wewe hujaelewa alicho maanisha Mtoa post.. Mtoa post., Kasema IPhone vs Android akiwa na maana ya kwamba Android ina combine simu zote zenye mfumo wa Android (os) na iphone akiwa Kashaisema direct ndo maana hakuweka IOS kuweni waelewa . Kwani Kuna Kifaa kinatumia Ios tofauti Na vinavotoka kampuni ya Apple?? [emoji848][emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan baba Hapa usinge ongea kitu Nimekumind kinoma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Iphone ni Simu ndio ila Android ni Os sio simu sasa ulitaka mtoa post aseme kwamba IPHONE VS Tecno,infix,samsung?? Ndo maana katumia Neno Android akiwa na maana Simu zote zenye Os ya Android hawezi kuzitaja moja moja Ndo Maana kazi Combine kwenye category moja ambayo ni ANDROIDiphone ni simu sio OS
Android ni OS sio simu
U cant compare them
Toka nihamie team apple, madem sio kwa kunitaka.Wadau habar zenu?? Naombeni kuuliza Eti kati ya IPhone na Android ipi ni nzuri kimatumizi Pia hata ki Ubora ..?
Ukiachana na Nijuavyo Iphone ni nzuri kiulinzi Je nikitu gani Kingine bora kwenye Iphone kushinda Android ?? Achilia mbali Bei zake [emoji120][emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Good. Pokea like kwanzaYaan baba Hapa usinge ongea kitu Nimekumind kinoma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Iphone ni Simu ndio ila Android ni Os sio simu sasa ulitaka mtoa post aseme kwamba IPHONE VS Tecno,infix,samsung?? Ndo maana katumia Neno Android akiwa na maana Simu zote zenye Os ya Android hawezi kuzitaja moja moja Ndo Maana kazi Combine kwenye category moja ambayo ni ANDROID
Sent using Ubuntu
Magame yote niliyokua napata Samsung nayapata IphoneKama Anataka simu ya Kutuma Msg na kupiga na Misifaa bhasi Chukua Iphone maana haina cha Maana zaidi ni Ujinga ujinga tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukitaka simu ya kutumia apps uwezavyo...kufanya matumizi yote unayotakaa..kucheza games.. Bhasi chukua Android.. !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisaa... Kuna jamaa anapenda kucheza games lakini ana iphone utacheka akiwa analazimisha iphone icheze games[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Iphone inahitaji mtu asiekuwa na mambo mengi sijui Kudownload Movie..mara music... Kuna masharti na kero kibao
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Yote mie nimetumia Iphone baadh ya Games huzipati ila ukija kwa Mtumiaji wa Android UnazipataMagame yote niliyokua napata Samsung nayapata Iphone
Apps nilizokua natumia Samsung zote nazipata Iphone
Msiwakatishe tamaa watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mimi Game niliyokua natumia napata, sijaona cha utofauti najionea sawa tu.Sio Yote mie nimetumia Iphone baadh ya Games huzipati ila ukija kwa Mtumiaji wa Android Unazipata
Sent using Jamii Forums mobile app
Fact hili ndo jibu kama ulielewa Swali la mtoa maada [emoji3][emoji3]ALL IN ALL, android iko poa zaidi. More freedom, more apps, 70% freee
Anhaa pw pw boss[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nunua IPhone wewe weka Heshima kitaaa.. Ila Ki Matumizi Android iko vizur
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dah wa bongo bhana...,,Najua sio Simu ila ni OS hapo nisingeweza Kujaza Brand zote zenye mfumo wa Android ndo maana Nimeziweka Pamoja kwa Jina la Android ila umeelewa ila umetaka Kujiweka Zaidi..
ThanksAndroid ndiyo system bora kimatumizi! Kwa iphone ipo limited sana kwa vitu inavyoweza fanya kama ww ni nerd chukua android but kama ni kwa show off chukua ios.
Sent using Jamii Forums mobile app