IPHONE VS ANDROID Ipi ni simu Bora Zaidi ???

Mtoa Msaada

Member
Joined
Feb 5, 2019
Posts
57
Reaction score
33
Wadau habar zenu?? Naombeni kuuliza Eti kati ya IPhone na Android ipi ni nzuri kimatumizi Pia hata ki Ubora ..?

Ukiachana na Nijuavyo Iphone ni nzuri kiulinzi Je nikitu gani Kingine bora kwenye Iphone kushinda Android ?? Achilia mbali Bei zake [emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kulinganisha android na iPhone kwa upande wa products za simu labda ungeuliza android na iOS (iphone OS) ipi ni system nzuri!!!


Nasema hivo coz android ni open source, kampuni lolote la simu linaweza kuichukua na kumodify mfano, kwa kutengeneza drivers mbalimbali ambazo zitawasiliana vizuri na kernel pamoja na hardware parts nyngne.

So android kwa samsung ni tofauti na android kwa tecno na pia ni tofauti na android kwa nexus. specify brand mkuu, labda ungeuliza iPhone na tecno ipi ni bora au iPhone vs samsung au iPhone vs nexus etc....
 

Japo utakuta android version inaweza kuwa ileile ila kama simu ni za makampuni tofauti there will be a difference btn them
 
Tecno sio simu,
Tecno hua ni vifaa vinavyofanya demonstration ya specifications za simu, kama vle storage, camera etc....
Ndo maana utakuta kifaa cha tecno kina hata gb32 ila bei ya madafu tu
hahahhahaa subiri tecno fanatics waje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…