Iphone users

Msada wataalam! Nifanyeje ili niweze kitumia Bluetooth na simu nyengine?.
 
<br />
<br />
nimeinstall dreamboard na baada ya kurespring device yngu imeenda kwnye safe mode na hata baada ya kuireboot ikawa inagoma! Imebd niifute tu! I missed ol the fun!
 
<br />
<br />
nimeinstall dreamboard na baada ya kurespring device yngu imeenda kwnye safe mode na hata baada ya kuireboot ikawa inagoma! Imebd niifute tu! I missed ol the fun!
huwa inatokea hivyo sometimes, ngoja nikuangalizie jina la tweak yenyewe ili uiweke kwa uhakika kabisa...
 
jamani iphone yangu ukiweka line hairespond, stil inaandika insert sim card.!!! tatito linaweza kua wapi, ni mpya nmeitoa dukani...
 
Ndugu simu yako ipo jailbreaked?km ndio ndo unaweza pata muendelezo,km bado unatakiwa upate turtorial ya jailbreak
 
Habari wandugu jaman naomben msaada. Nina iPhone 3g bt nikaenda mahali kuingiza nyimbo. Kilichitokea kulikuwa na videos ktk cmu zikawa zinajirudia hata mara 3 nikaamua nifute kupunguza uwii zilizobaki hazitaki kuonyesha Niko hoi naumwa kwan nazipenda mdaadazionyeshe km. Kawaida pls msaada wadau?
 
ongeza na mobile terminal from cydia if u want to have full control of your iPhone
 
my guess is that your iPhone is locked you gotta unlock it to use itwith other carriers like voda,zantel,airtel etc...? ila its unfair warudishie dukani wakupe ambayo ni factory unlocked
 
Nimekwama! nisaidieni Wataalam, iphone 3g nime update software kutoka 4.1 kwenda 4.2 imekubali lakini imepoteza network, wapi nimekosea na ufumbuzi wake ni upi?
 
Nimekwama! nisaidieni Wataalam, iphone 3g nime update software kutoka 4.1 kwenda 4.2 imekubali lakini imepoteza network, wapi nimekosea na ufumbuzi wake ni upi?
kama umeJailbreak hiyo software ya 4.2 angalia namna ya kuUnlock kwa kutumia ultraSn0w kwenye page ya kwanza humu ndani..
 
kama umeJailbreak hiyo software ya 4.2 angalia namna ya kuUnlock kwa kutumia ultraSn0w kwenye page ya kwanza humu ndani..
Mkuu page ya kwanza sikuona hi habari
 
Nimekwama! nisaidieni Wataalam, iphone 3g nime update software kutoka 4.1 kwenda 4.2 imekubali lakini imepoteza network, wapi nimekosea na ufumbuzi wake ni upi?
Ukiupdate angalia kama button ya airplane moe iko on.
 
Jamani iphone yangu ni 3gs version yake ni 3.1(7C144) nimejaribu mara kibao kui jailbreak with no success can anyone help?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…