ChelseaBlue
Senior Member
- May 22, 2011
- 148
- 43
wakuu mnaotumia Iphone tujaribu kupeana maujanja hapa pamoja na kubadilishana applications na Intel kuhusu ios..mimi natumia 3GS na mpaka sasa nimefanikiwa kuweka hivi hapa.photo mail,celeste bluetooth file sharing (natuma na kupokea files via bluetooth kwa simu zote, computer na ipod),bite sms kwaajili ya push for messeges,anyring kwaajili ya ringtones, message tones email tones from itunes bila kufanya conversion,dock,Action Menu with Speed Intensifier, Multiflow,IphoneDelivery,backgrounder kwaajili ya kuRun applications kwenye background,Instalous kwaajili ya kudownload application yeyote iliyopo kwenye app store bure,Ibook reader kwaajili ya kusoma vitabu,Android Loader inabadilisha interface kuwa kama Android OS,MyWi for wifi tehtering,BytaFont kubadilisha system font style,Games Ace combat, Fifa 11 EA Sorts, Golf, Fast Five...etc,VLC player, Buzz Player na Video stream,FingerPrint security na Phone Tracker..View attachment 33300 View attachment 33301 View attachment 33302 View attachment 33303 View attachment 33304 View attachment 33305
Nashukuru sana kwa kuanzisha hii mada mimi nina tatizo moja ambalo nahitaji sana msaada wenu, ni kwamba nimefanikiwa kudownload some of the iphone apps kwenye itune, sasa tatizo linakuja pale ninapotaka kusync ili niweze kuzitumia kwenye simu.Nimebonyeza button ya kusync apps but inanipa alert ifuatayo;
Are you sure you want to sync apps? all existing apps and their data on the iphone will be replaced with apps from this itune library.
Sasa nimesita kukubali process iendelee kwa sababu nahofia nisije poteza apps ambazo tayari zipo kwenye simu na data zake kama contacts,music na n.k
Naomba msaada wenu wa kutatua hili tatizo kwa sababu nazihitaji sana hizi apps ili niweze kuzisync.Nimejaribu kudownload through phone but naona ni expensive.
Thanks in advance
Softwares una download kutoka link gani? Tupe maujanja mkuu.
kaka cha kufanya achana na apple store wananjaa saana wanataka hela kama we mwenyewe unaeza jailbreak your iphone ili udownload cracked apps for free from the mentioned linksMmeniacha ,wazee kuna baadhi ya apps mm huwa nadownload apple store na zina install direct kwa simu natumia za free tu
du wazee yaan kutweak system files huwa naogopa sana..but mmenitamanisha sana kwa kweli,mi chache za cydia nlizonazo ni ACTIVATOR hii inakusaidia ku add commands kwnye ios,mfano unaweza kubonyeza status bar kurespring au kureboot au kutingisha iphone kulock/unlock,FAKE CARRIER pale kwnye carrier name unaeza hata ukaweka jina lako,5 COLUMN SPRINGBOARD hii unaongeza idad za icon icon kwnye Menu ziwe 5 badala ya 4.
brake,android loader hai slow down system operations? Imenivutia kweli,ndio mkuu, tena kwenye cydia ukikosea kidogo tu unaeza kuharibu simu,,,ila ndo kwenye vitu vingi humo, mimi natumia SBrotator inarotate springboard pande zote na pia unachagua number of applications per page, kwa mfano 20 applications kwa column 5, au wewe mwenyewe jinsi unavyotaka..... View attachment 34512 View attachment 34513
brake,android loader hai slow down system operations? Imenivutia kweli,